TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Gerard Pique

The Typologically Different Question Answering Dataset

Mzaliwa wa Barcelona Piqué, awali alihamia klabu ya Manchester United mwaka 2004, ambapo alikaa kwa miaka minne, kabla ya kurudi Barcelona chini ya uongozi wa Pep Guardiola, na alisaidia klabu hiyo kushinda UEFA mwaka 2008-09 na 2014-15. 

Je,Gerard Piqué Bernabéu alijiunga na klabu ya Barcelona mwaka upi?

  • Ground Truth Answers: 2008

  • Prediction:

Tarehe 27 Mei 2008, Piqué alisaini mkataba wa miaka minne na Barcelona, na kifungu cha € 5 milioni cha kumnunua.na kulipwa mshahara wa £ milioni 5 kwa mchezaji huyo.  Alielezea furaha yake katika kusaini tena na klabu yake ya udogo, alisema  kuwa amefurahi kuhamia Barcelona. Mchezaji Gerard Pique alizaliwa tarehe 2 februari 1987 huko Barcelona Spain.

Je,Gerard Piqué Bernabéu alijiunga na klabu ya Barcelona mwaka upi?

  • Ground Truth Answers: 20082008

  • Prediction: